Thumb_logo_white Discover Create Go Pro
Log In / Sign Up
Rss
Zanzibar Daima Podcast
Kwetu Zanzibar
Category: Spoken Word
Location: West, Zanzibar
Followers (4)
Currently following. Unfollow
Image_nophoto Image_nophoto 25x25_5505881 Image_nophoto
100x100_5385693
Zanzibar Daima


by Zanzibar Daima
x
take it with you
Iphone5s_trans go mobile with PodOmatic's new iPhone app.
don't have an iPhone? no problem »
x
loading results... Loader
loading results... Loader
x
No results found.
August 12, 2014 06:52 PM PDT

Sura ya kwanza ni ukungu uliopo baina yangu na yako. Hapana, ukungu nilionao mimi kwako. Ukungu wa kutokukujuwa wewe mwanzangu katika uhalisia na udhati wako. Najua hili litakushangaza, na hapo ulipo unajiuliza kwa nini nimeliibua leo hii, baada ya miaka yote hiyo ya mawasiliano baina yetu. Lakini niamini, mpenzi Wakati, Wallahi leo ndio nimetanabahi kwamba sijawahi kukuuliza swali hili hata mara moja kwa kipindi chote hicho.

July 11, 2014 09:11 AM PDT

Mtu kuitwa jahili, sifaze ’takutajia
Kwanza huona ukweli, kwa macho ’kashuhudia
Mbele yake unajiri, wazi wazi umekaa
Lakini akaamua, uongo kuuamili

June 04, 2013 07:08 AM PDT

Enyi vipande vya nchi, kwenye Bahari ya Hindi
Nawapenda siwafichi, mukasema siwapendi
'Tawaganda siwaachi, sendi penginepo sendi

June 04, 2013 06:34 AM PDT

Sauti nisikiayo, si ngeni ninaijuwa
Si ngeni kwenye sikio, vyema ninaielewa
Huyo awika jogoo, na mnadi anadia
Ujilio wa mawiyo!

June 04, 2013 06:30 AM PDT

Zenji yangu sijataka, wala sina hamu nayo
Bali budi kikoseka, hutendwa ile iliyo
Ndipo bega nakushika, kunena yanenekayo
Kwamba pangechagulika, nisingechaguwa hayo

June 04, 2013 06:04 AM PDT

Sauti nisikiayo, si ngeni ninaijua
Anga rangi lilonayo, naona ninaijua
Mawiyo haya yawiya, lishavyoika jogoo
Mbele daima,nyuma mwiko!

May 29, 2013 12:06 PM PDT

Popote mkufu wa mahusiano baina ya dola na wananchi unapokatika, matokeo huwa ukosefu wa maendeleo, amani na utulivu wa kijamii. Wenye busara hawawezi kuliachia hilo kuendelea, badala yake huchukua juhudi maalum kulirekebisha. Skuli ya Ali Khamis Camp kisiwani Pemba inatekeleza wajibu huo.

May 28, 2013 07:04 AM PDT

La kuitwa mpumbavu, sababu ya nchi yangu
Halinipoki werevu, hishima na jiha zangu
Zaidi hunipa nguvu, ya kulinda nia yangu
Nchi ndio utu wangu, na kwayo miye mbovu!

May 28, 2013 06:22 AM PDT

Mapenzi nikupendayo, nchi yangu Zinjibari
Sitampenda mwenzio, na wala siko tayari

Mapenzi nikupendayo, nchi yangu ya uzawa
Kwa mwengine siwi nayo, na wala haitakuwa

Mapenzi nikupendayo, ewe taifa tukufu
Hatazuka mfanowo, wala sitakukhalifu

Mapenzi nikupendayo, dola yangu Zanzibar
Yang’ara kama kioo, wala hayatachakaa

Mapenzi nikupendayo, watani wangu watani
Twaa yote nilonayo, na wala sitakukhini

Mapenzi nikupendayo, biladi yangu biladi
‘Takupenda kila leo, na daima yatazidi

November 13, 2012 12:49 AM PST

Nikifa Zenji i hai, 'tajiona sijakufa
Lau itakufa mwanzo, pumzi zingalimofa
Siwezi aibu hiyo, kuishi kwenye kashifa
Lau yatajiri hayo, Mola nitwae kabisa!

loading more... Loader
 
x

take it with you


Iphone_trans Listening to podcasts on your mobile devices is extremely convenient -- and it's what makes the podcasting medium so powerful.

You can take your favorite shows and mixes with you anywhere, but to do so requires some quick and simple steps.

Let's walk you through that process together.
step 1:


Click the "Subscribe With iTunes" link in the page's sidebar:

Subscribe_with_itunes

This will require that you have the iTunes software on your computer.

(You can download iTunes here.)
step 2:
Itunes_ss

Now that you've subscribed to the podcast on iTunes, the feed will display in your "Podcasts" section on the left navigation bar.

Click there and you'll see the show displayed in the iTunes browser.

You can "get all" to download all available episodes or just individual episodes.
step 3:


Plug your mobile device (iPhone, iPad, iPod) into your computer with the Dock Connector cable, and click the device in iTunes's left navigation bar.

Itunes_ss2

Once you have your device highlighted, click "Podcasts" in the top navigation bar and sync the podcasts you want on your device. Click "apply" and the episodes you have downloaded on your iTunes software will sync with your device.
that's it!

The beauty of this process is that now, every new episode of your subscribed podcasts will automatically sync to your device every time you plug it in and open iTunes. You can now take your favorite shows with you everywhere you go.

Enjoy!
done!
x

share this podcast


Email a friend about this podcast
x

subscribe to this podcast

Rss-icon RSS
Itunes-icon iTunes